Ulinzi wa watu mashuhuri

Kingsman

Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
84
Reaction score
203
Ni kitengo ambacho kimetokea kupendwa sana na vijana wengi katika karne hii..
labda nikumbushe tu mambo mbalimbali na ichi kitengo..

1/UZALENDO
Hii ni kwamba ni bora utangulie kudhurika wewe na kua ngao kwa uyo umlindae hata ikiweza kutoa uhai wako ili humlindae awe sehemu salama

2/SHABAHA
Ni lazima uwe mlengaji shabaha aliyetukuka kwamba katika mkusanyiko wa watu uweze kumuondoa mtu husika ambae ni tishio. na pia kua na uwezo wa kutumia silaha mbalimbali

3/UTIMAMU WA MWILI
Hii ni hali ya kua fiti kimwili na kuweza kuweza kuhimili mazingira yote na kua na uwezo wa kumbeba umlindae ikitokea hali ya hatari na kwend nae umbali mrefu ivyo mazoezi ya utimamu ni muhimu sana

4/SANAA YA MAPIGANO
Hapa ni lazima uwe na uwezo wa hali ya juu katika sanaa ya mapigano (martial arts skills) uwe na uwezo wa kupambana bila silaha na kikwazo ambacho kinaweza kuwa na silaha tofauti kuanzia fimbo...batola..bomu...kundi la wavamizi..silaha za kivita n.k
Hapa baadhi ya sanaa izo ambazo zinamashiko ni KARATE....AIKIDO..COMBAT KARATE..n.k

5/AKILI NA UELEWA
Hii ni moja ya sifa kubwa kwa mlinzi lazima awe na akili ya haraka ya kuchunganua na kuchukua hatua stahiki..
na pia uwezo wa kuelewa kwata(drills) tofauti ambazo hutumika kama njia(formulas) wakati wa ulinzi

6/UMAKINI
Lazima awe mtu makini katika kila idara na kila eneo na vitu vinavyozunguka kuhakikisha vitu nyeti havionekani kizembe kama silaha na baadhi ya vifaa vya ulinzi na usalama.

HITIMISHO
Wasanii wengi wamekumbwa na hili jinamizi la kua na walinzi binafsi ambao kiujumla hawana elimu na ujuzi juu ya ulinzi wa watu mashuhuri..na si kuangalia ujazio wa mwili(body builders) na kufanya wasanii hao kua uchi kwa kushambuliwa katika uwanja wa ulinzi na mazingira yawazungukao..

Nitarudi tena....
 
Jengine ni taarifa hiki ni moja ya kitu muhimu bila taarifa sahihi hakuna ulifanyalo ni sawa na milango mitano ya fahamu IPO ili ikusanye taarifa kisha ubongo ufanye maamuzi
Yah DETAILS ni jambo muhimu sana na lazima uwe mwongozaji na msomaji details viziuri
 
Yatakiwa uwe mnyanyua vyuma mzuri na mvaaji nguo zisizobana maungp kwa ajili ya msamba. Huu ulinzi wa baunsa nilionaga hamnapo siku moja tukiwa disco Baunsa mlinzi pale ukumbini alileta za kuleta kwa mwenzetu mmoja mtaaluma wa hizo combative carrate. Ilikuwa ni aibu kwa baunsa alikuwa anakwenda nchini kama gunia la pamba vile kwa mitama.
 
Wastan na sio mnyanyua vyuma sana maana utakua mzito na ukishakua mzito itakua shida kidg katika harakati za mapigo kama kuruka,,,kuroll...wepesi
 
Ni kweli kabisa...

Hao wasanii wanachukua body builders na siyo bodyguards...


Cc: mahondaw
 
Utofauti huo ni upi mkuu?
Ngumi za ulingoni zina sheria na kanuni, ngumi za mtaani hazina sheria unapigana kwa chochote kama viungo vya mwili na silaha. Visu, fimbo,bastola etc....unadhani huyo money atauweza huo mziki?
 
Ngumi za ulingoni zina sheria na kanuni, ngumi za mtaani hazina sheria unapigana kwa chochote kama viungo vya mwili na silaha. Visu, fimbo,bastola etc....unadhani huyo money atauweza huo mziki?
Nimejifunza kitu kipya mkuu, bondia hawezi kuwa mlinzi binafsi au mlinzi kwa mtu mwingine...si ndio?
 
Nimejifunza kitu kipya mkuu, bondia hawezi kuwa mlinzi binafsi au mlinzi kwa mtu mwingine...si ndio?
Hawezi, Hana mafunzo. Angalau angekuwa mtaalam wa Sanaa za mapigano angeweza kuwa mlinzi. Ila kwa ngumi tu peke yake hawezi. Wewe mwenyewe ukiwa na bisu huyo money hakusogelei.
 
Hivi sisi wenye vitambi kama sifa nyingine zote tunazo bado tunastahili kuwa walinzi wa hawa watu mashuhuri?
 
Hawezi, Hana mafunzo. Angalau angekuwa mtaalam wa Sanaa za mapigano angeweza kuwa mlinzi. Ila kwa ngumi tu peke yake hawezi. Wewe mwenyewe ukiwa na bisu huyo money hakusogelei.
Inanikumbusha kuna bondia Wawili niliwahi kusikia waliuawa kwa kuchomwa visu... Naanza kupata utofauti wa bondia na wazee wa kareti
 
Bado sijapata jibu kwanini mayweather ni bondia lakini nayeye analindwa na baunsa.
Mayweather jr ni proffesional boxer ndani ya ulingo(ring) ambapo kuna sheria za kimapigano(rules of boxing) ambazo zinawalinda wapiganaji ila ukija uku nje sasa ni uwanja mwingine no rules,,,,no gloves,,,,silaha zimeruhusiwa kwa iyo unaweza ona ni vitu viwili tofauti sas wapo watu maalumu waliobobea katika mazingira hayo sas ndo tunita V.I.P PROTECTORS( BODYGUARDS)
 
Ni kweli kabisa...

Hao wasanii wanachukua body builders na siyo bodyguards...


Cc: mahondaw
wanatakiwa wawe makini sana maana ho hawana ujuzi mfano.enviromental survey,,,,,,,,risks analysing...target neutraization without affecting sorrounding enviroment!!!!,,,,flexibility and adoptiblity kwa iyo bado kuna haja ya kutafuta watu maalum kwa ajili ya kazi iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…