Kingsman
Member
- Aug 8, 2017
- 84
- 203
Ni kitengo ambacho kimetokea kupendwa sana na vijana wengi katika karne hii..
labda nikumbushe tu mambo mbalimbali na ichi kitengo..
1/UZALENDO
Hii ni kwamba ni bora utangulie kudhurika wewe na kua ngao kwa uyo umlindae hata ikiweza kutoa uhai wako ili humlindae awe sehemu salama
2/SHABAHA
Ni lazima uwe mlengaji shabaha aliyetukuka kwamba katika mkusanyiko wa watu uweze kumuondoa mtu husika ambae ni tishio. na pia kua na uwezo wa kutumia silaha mbalimbali
3/UTIMAMU WA MWILI
Hii ni hali ya kua fiti kimwili na kuweza kuweza kuhimili mazingira yote na kua na uwezo wa kumbeba umlindae ikitokea hali ya hatari na kwend nae umbali mrefu ivyo mazoezi ya utimamu ni muhimu sana
4/SANAA YA MAPIGANO
Hapa ni lazima uwe na uwezo wa hali ya juu katika sanaa ya mapigano (martial arts skills) uwe na uwezo wa kupambana bila silaha na kikwazo ambacho kinaweza kuwa na silaha tofauti kuanzia fimbo...batola..bomu...kundi la wavamizi..silaha za kivita n.k
Hapa baadhi ya sanaa izo ambazo zinamashiko ni KARATE....AIKIDO..COMBAT KARATE..n.k
5/AKILI NA UELEWA
Hii ni moja ya sifa kubwa kwa mlinzi lazima awe na akili ya haraka ya kuchunganua na kuchukua hatua stahiki..
na pia uwezo wa kuelewa kwata(drills) tofauti ambazo hutumika kama njia(formulas) wakati wa ulinzi
6/UMAKINI
Lazima awe mtu makini katika kila idara na kila eneo na vitu vinavyozunguka kuhakikisha vitu nyeti havionekani kizembe kama silaha na baadhi ya vifaa vya ulinzi na usalama.
HITIMISHO
Wasanii wengi wamekumbwa na hili jinamizi la kua na walinzi binafsi ambao kiujumla hawana elimu na ujuzi juu ya ulinzi wa watu mashuhuri..na si kuangalia ujazio wa mwili(body builders) na kufanya wasanii hao kua uchi kwa kushambuliwa katika uwanja wa ulinzi na mazingira yawazungukao..
Nitarudi tena....