Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
23!
Nilipotok JKT niliajiriwa na kampuni fulani ya kikanada wakiwa wananilipa sh 13.50 kwa saa na kuongezea nusu yake baada ya masaa nane kama overtime. Nilijijenga vizuri sana kwa kununua fanicha nzuri na watoto wa kike walinipenda sana kwa ukarimu wangu nyumbani kwangu wakati huo. Nilikuwa na santuri pamoja na Cassetes za miziki karibu yote iliyokuwa maarufu enzi hizo,