Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Hahaha kwanini mkuu
Kujenga ni ka scam flani hivi ka kijinga sana tunapoteza muda mwingi kwa aajili ya kitu kidigo kusema unamiliki nyumba lakini hakuna kipya. Imagine mtu anawek3za zaidi ya 50m kwenye nyumba na hapo kaajiriwa anamnyeyekea boss kila siku kwani angetafuta hyo 50m akafungua biashara si angeweza kuishi kwenye appartment upanga au maeneo yenye hadhi
 
taget zangu nimiliki nyumba yangu nikiwa na miaka 27 lakini ilipita hata kiwanja Sina mpaka miaka 29 nikapata kiwanja kwa bei nzuri chapu nikanunua kumbe kilikua na migogoro ya kifamilia aisee nilizunguka mahakamani Kama mweu nikipambanaia haki yangu zaidi ya mwaka nikafanikisha .

Then nikajikusanya Sana kwa kujinyima punguza baadhi ya mambo ya siyokua ya maana hadi ndg na najamaa wa vizinga wakanisema Sana me bahili.

Nimefaniki hamia kwangu mwezi wa sita mwaka huu ambapo na miaka 31
nashukuru kwa hili kikubwa tupambane kidg kdg unaweka kitu.
Screenshot_20221210-150205.jpg
 
Chief unanifanya nijione nimekua mzembe mno....
Kazi kulipia tu kifurushi Kwa wakati na kubishana mpira tu kijiweni hapa.

Nimelichukua hili.
Hapana mkuu, Mungu hufanya kila jambo kwa wakati....😊 we endelea kupambana mkuu...☺
 
taget zangu nimiliki nyumba yangu nikiwa na miaka 27 lakini ilipita hata kiwanja Sina mpaka miaka 29 nikapata kiwanja kwa bei nzuri chapu nikanunua kumbe kilikua na migogoro ya kifamilia aisee nilizunguka mahakamani Kama mweu nikipambanaia haki yangu zaidi ya mwaka nikafanikisha .

Then nikajikusanya Sana kwa kujinyima punguza baadhi ya mambo ya siyokua ya maana hadi ndg na najamaa wa vizinga wakanisema Sana me bahili.

Nimefaniki hamia kwangu mwezi wa sita mwaka huu ambapo na miaka 31
nashukuru kwa hili kikubwa tupambane kidg kdg unaweka kitu.View attachment 2675315
Hongera sana mkuu, nyumba imekula M ngapi hadi hapo,

Hongera sana 🎉
 
Chief unanifanya nijione nimekua mzembe mno....
Kazi kulipia tu kifurushi Kwa wakati na kubishana mpira tu kijiweni hapa.

Nimelichukua hili.
Hahahaha unaona watu wamejenga wana 26 wakati wew kwa umri huo huna chochote an
 
Kujenga ni ka scam flani hivi ka kijinga sana tunapoteza muda mwingi kwa aajili ya kitu kidigo kusema unamiliki nyumba lakini hakuna kipya. Imagine mtu anawek3za zaidi ya 50m kwenye nyumba na hapo kaajiriwa anamnyeyekea boss kila siku kwani angetafuta hyo 50m akafungua biashara si angeweza kuishi kwenye appartment upanga au maeneo yenye hadhi
Sio kila mtu lazima awe mfanyabiashara wengine sisi ni wateja
 
taget zangu nimiliki nyumba yangu nikiwa na miaka 27 lakini ilipita hata kiwanja Sina mpaka miaka 29 nikapata kiwanja kwa bei nzuri chapu nikanunua kumbe kilikua na migogoro ya kifamilia aisee nilizunguka mahakamani Kama mweu nikipambanaia haki yangu zaidi ya mwaka nikafanikisha .

Then nikajikusanya Sana kwa kujinyima punguza baadhi ya mambo ya siyokua ya maana hadi ndg na najamaa wa vizinga wakanisema Sana me bahili.

Nimefaniki hamia kwangu mwezi wa sita mwaka huu ambapo na miaka 31
nashukuru kwa hili kikubwa tupambane kidg kdg unaweka kitu.View attachment 2675315
Bravo [emoji122]
 
Nikiwa na miaka 26 ndipo nilianza kujitegemea na hadi leo sijutii kuwa na familia.

Nampenda mke wangu na watoto wangu pia.
Sio kujitegemea, ni lini ulihamia kwenye nyumba unayoimiliki wew mwenyewe kwa 100%?
 
Back
Top Bottom