Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaSiri ni kuwa na nidhamu ya fedha, hakuna pesa ndogo.
Mungu akuvushe na akuonekanie kwenye kila hitaj lakoMwaka huu nilisema ntaanza ujenzi ila kwa hali ilivyo labda 2025.Pamoja na mwenzangu kuniweka kwenye maombi bado hali tete.
maisha haya kilitokea nini mkuu mkopo au?? pole utajenga tena zaiz ya ile ya mwanzo@27nilihamia nyumbani kwangu. Lakini sasa naishi nyumba ya kupanga.
Mashallah😍Mwaka 2018, nikiwa na 28 yrsView attachment 2669599
Kazi imenipeleka mbali na makazi yangu.maisha haya kilitokea nini mkuu mkopo au?? pole utajenga tena zaiz ya ile ya mwanzo
hongera tupe mbinu mimi lengo langu lilikua mwaka jana lkn tunapanga Mungu anaamua lkn pia naamin mpango wa Mungu n bora kuliko ndoto zangu saizi napambana ili nipaue kwa uwezo Mungu naamin mpaka December nitafanikisha Inshallah24 niliondoka home na kuanza kupambana...36 nilihamia kwenye nyumba yangu ya Kwanza...hadi sasa Nina nyumba sita!!!
Hapo sawa pangisha kule ili ulipe huku n sawa tu km uko kwako hongeraKazi imenipeleka mbali na makazi yangu.
Kikubwa ni nidhamu ya fedha na malengo, nikipanga langu na nisipate changamoto za kutisha lazima niheshimu mipango yangu. Kwangu elfu 50 inafanya kazi. Lakini pia supportive wife ni nguzo yanguhongera tupe mbinu mimi lengo langu lilikua mwaka jana lkn tunapanga Mungu anaamua lkn pia naamin mpango wa Mungu n bora kuliko ndoto zangu saizi napambana ili nipaue kwa uwezo Mungu naamin mpaka December nitafanikisha Inshallah
Dooh hapo kwenye kuomba 40m tena hata hivyo hongeraNimehamia mwaka huu nikiwa na miaka 29 nyumba nj kubwa ina room 4 na zote ni room kubwa pia nyumba ina kila kitu sitting room ni kubwa sana sana mpaka sana tena mpka hapa nyumba imekula million 86 na bado inaomba kama million 40 tena ili ikae inavotakiwa nyumba ina tofali 68,500 kuanzia msingi saivi nimeikimbia kwanza nakaagiza gari mana niliona haiishi pia walio design Raman waliniambia kua bila million 130 sitoboi otherwise nigushi ndo itakua chini ya apo
Nimehamia ila saiv naiangalia2 nitacheza nayo tena mwakani ila ningejenga hizi million 40 TU aiseee 2017 ningekua nishahamia , but me nilisubiri niishi nyumba ya ndoto zangu ata gari nimeagiza premio japo haikua lengo ila hesabu zilienda viral ndo mana
All in all sina cha kumlipa mungu kwa hatua hii coz so far nina mashamba na viwanja tena MAKAO MAKUU YA NCHI NA CHAMA
hongera sana mkuuJust take your time, and you can do it....usiwe na preshaView attachment 2669860
Nakuelewa mkuu pesa naiheshim sana lkn kwa upande wangu niliamin nilikua nayo ingetosha mambo yakaenda ndivyo sivyoKikubwa ni nidhamu ya fedha na malengo, nikipanga langu na nisipate changamoto za kutisha lazima niheshimu mipango yangu. Kwangu elfu 50 inafanya kazi. Lakini pia supportive wife ni nguzo yangu
Endelea mdogo mdogo utafikaNakuelewa mkuu pesa naiheshim sana lkn kwa upande wangu niliamin nilikua nayo ingetosha mambo yakaenda ndivyo sivyo
InshallahEndelea mdogo mdogo utafika
Ni balaa[emoji16]Nikiwa na miak 23 nilihamia kwangu hadi sasa nina miaka 29 nina nyumba 7...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] shikamoo Jf
Wewe pia ni Nesi MkungaAt this age ya miaka 27 nina nyumba tatu masasi chanika kwa matajiri na mbezi kwa yusuph.Magari 3 ranger rover discovery 4, ranger rover vogue na nissan navara na pia nimeoa msudani mahari ilinicost 10 milion halafu hapo mie ni mwalumu tu
Umeongea kinyume chake wengi siku hizi wamepanga na siyo kwao wapo, vijana wa zamani walihamia kwao mapema.Wengi bdo tunaskilizia bdo hazjatiki. Lakini napenda vile kumekua na muamko mkubwa sana kwa vijana wa sasa kujenga mapema na kuhamia kwenye mijengo yao. Mi nadhani ntapiga hata kibarua humo humo saidia fundi ili nipate changamoto mpya..,inshalah