Kama ni nyumba ya chini,kuna high possibility ukakaa humo humo mpaka ukafia hapo bila kua na gorofa
Chukua takwimu,wote waliowahi kujenga nyumba za chini ku-transition to gorofa ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Awe na hela au asiwe nazo,ni ngumu kupita maelezo maana ile nyumba yake ya mwanzo imegeuka yeye na nyumba ni yeye,hawezi hama hata awe na hela regardless
Jamaa yangu alichelewa kujenga ila finally kajenga gorofa to way much luxurious with budget nearly 1Bilion..
Sasa wenzake waliowahi kujenga vijumba vyao vya chini huko uswahilini viwanja vya milioni sasa hivi are having tough times to upgrade,no money,no power,umri umeenda,etc!
I see this contest funny