Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

NYUMBA 7 ni uchovu mkuu.. 😀 😀 😀 😀
Hahahah, at 30 inabidi uwe nazo 10, 1 for each year since turning 20,

Sema inadepend na maeneo, Mfano, kuna watu wapo mikoani, wanajenga nyumba ya kawaida tu kwa 15M na inaonekana nyumba ya mfano wa kuigwa mtaani hapo, ila kwa Dar mfano bila 35M huwez hamia hata kibishi nyumbani kwako
All in all mimi nawapongeza wote wenye nyumba zao, ni hatua ya kwanza kubwa ya kuwa financially free
 
yaah mzee..vijana watafute helaa!!
 
Mkuu 35 inatosha japo ni kibishi Kwa nyumba ambayo imefika zaidi ya asilimia 75
 
Pia katika nyumba ya ndoto zako kuna mda inatakiwa uwe mkali mana engineer atakua anakosoa mno mara hii kubwa ya kazi gani, mara sjui itakula eneo kubwa we usijali peleka moto2 af mwisho wa siku anakuja kusema mwenyewe kua kumbe uliona mbali
Me nimepinashana sana na engineer wangu kwanza nilimwelekeza tukaelewena ile naondoka kwenda kazin nikakuta amefanya yafuatayo
Kwanza engineer ali set nyumba yangu akaisogeza mbele akamwaga poda na kamba wakaanza kuchimba msingi me narudi sa nane nikakuta imesogea aisee nilipata moto af nikimuuliza anasema kua ameacha space kubwa nyuma ili badae nije nijenge nyumba za kupanga daaaah
Nikamwambia Mzee me sjawai kuwaza maisha yangu yooooooote kua nitakuja ku share gate na mpangaji yan arudi sa 10 af tumfungulie gate nikauvuruga mchoro nikampa tena maelekezo ya mwisho pamoja na kuongeza vipimo japo alisema kama vipimo vimeongezeka basi nimuongeze pesa ya ujenzi nikasema sawa ndo ikawa mambo super

Ata kumwaga jamvi nilipiga ratio ya mkoloni ndo mana jamvi pekee ilikula mifuko 100+

Kikubwa malengo yako yaweke vizuri2 me nimeajiriwa ni kiwa kama form 4 japo nilipata kazi nikiwa na miaka 19 ila nikaanza kupiga shule saivi namalizia bachelor degree mwez wa 7 na mtoto wa kaza saiv ameanza shule na pia nasaidia kusomesha ndugu ko ukiwa na malengo aisee maisha mepesi mno
Epuka makundi ya watu wa kukatishana tamaa pia usikose biashara ya kukuingizia kipato ata kama ukiwa na kazi

OVER
Dogo uko too arrogant, tulia, relax.. Nyumba si kitu ya kupiga sana kelele!
 
Nimehamia mwaka huu nikiwa na miaka 29 nyumba nj kubwa ina room 4 na zote ni room kubwa pia nyumba ina kila kitu sitting room ni kubwa sana sana mpaka sana tena mpka hapa nyumba imekula million 86 na bado inaomba kama million 40 tena ili ikae inavotakiwa nyumba ina tofali 68,500 kuanzia msingi saivi nimeikimbia kwanza nakaagiza gari mana niliona haiishi pia walio design Raman waliniambia kua bila million 130 sitoboi otherwise nigushi ndo itakua chini ya apo
Nimehamia ila saiv naiangalia2 nitacheza nayo tena mwakani ila ningejenga hizi million 40 TU aiseee 2017 ningekua nishahamia , but me nilisubiri niishi nyumba ya ndoto zangu ata gari nimeagiza premio japo haikua lengo ila hesabu zilienda viral ndo mana

All in all sina cha kumlipa mungu kwa hatua hii coz so far nina mashamba na viwanja tena MAKAO MAKUU YA NCHI NA CHAMA
We jamaa!

Nyumba iko na tofali 68500?

Hebu tuheshimiane basi, JF kuna watu wazima ujue!

Ni tofali za aina gani hizi?
 
Ni kweli, ila jinsi ya kuipata hio 35M sasa ndo shida
Beberu ukisubiri upate hela yote Kwa mkupuo ndo ujenge itakuwa ngumu hasa kwa sisi watu wa kipato cha kawaida...Anza na kiasi ulichonacho...nina ujenzi wangu nimeanza kujenga boma nikiwa na laki sita ya kuanzia...lakini hadi ninapoandika hapa nimeifunika...chumba seble selfu vitatu!!
 
We jamaa!

Nyumba iko na tofali 68500?

Hebu tuheshimiane basi, JF kuna watu wazima ujue!

Ni tofali za aina gani hizi?
Nimesema kuanzia msingi then me sina haja ya ku fake maisha sjawai kuwaza ata siku moja ndo mana me hua mvivu mno kubishana na mtu
Ila kama upo Dom ni PM uje home
 
Usipanick kusikia mwenzio kajenga nyumba yake ya kwanza akiwa na miaka 25 au 30.

Ukiona kwa umri ulionao bado hujajenga jua muda wako haujafika.

Kibongo bongo tunasema life begins at 40.

=======
Kujibu swali la mtoa mada, nimehamia kwenye nyumba yangu nikiwa na 30
 
Hongera zako, umetumia muda gani kuijenga hadi hapo
Beberu ukisubiri upate hela yote Kwa mkupuo ndo ujenge itakuwa ngumu hasa kwa sisi watu wa kipato cha kawaida...Anza na kiasi ulichonacho...nina ujenzi wangu nimeanza kujenga boma nikiwa na laki sita ya kuanzia...lakini hadi ninapoandika hapa nimeifunika...chumba seble selfu vitatu!!
 
Usipanick kusikia mwenzio kajenga nyumba yake ya kwanza akiwa na miaka 25 au 30.

Ukiona kwa umri ulionao bado hujajenga jua muda wako haujafika.

Kibongo bongo tunasema life begins at 40.

=======
Kujibu swali la mtoa mada, nimehamia kwenye nyumba yangu nikiwa na 30
Mapema kabisa, hongera sana mkuu,
Yeah life begins at 40 aiseee
 
Back
Top Bottom