Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
🙏🙏Endelea kukaza mkuu, utatoboa tu soon na wew utakuwa na kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏Endelea kukaza mkuu, utatoboa tu soon na wew utakuwa na kwako
Muajiriwa kaka......ila ndo hvo Mungu alijaalia kaz nlipata taasis inayolipa vizuri!!Hongera sana mkuu,
Ulifanya biashara au ajira?
Again congrats [emoji322]
Hii iko Moshi....hapo ilkua kiangazi!! Kipind cha mvua ona picha hiiHii nyumba ipo Nyanda za juu kusini ?
Yeah ni ajira ila ndo ivo ukibahatisha kitengo kizuri inabidi ufanye juu chini kazi yako ili flect na makazi yako yan sehem unayoishi ukimpeleka mtu akuangalie mara 9 bila kukumaliza akiangalia umri na mzigo uliosimama.Hongera sana, upo vizuri sana an, kwa Umri huo kuwa na utajiri wa zaidi ya 100M, bila shaka upo kitengo muhimu sana
Pia katika nyumba ya ndoto zako kuna mda inatakiwa uwe mkali mana engineer atakua anakosoa mno mara hii kubwa ya kazi gani, mara sjui itakula eneo kubwa we usijali peleka moto2 af mwisho wa siku anakuja kusema mwenyewe kua kumbe uliona mbaliHongera sana, upo vizuri sana an, kwa Umri huo kuwa na utajiri wa zaidi ya 100M, bila shaka upo kitengo muhimu sana
Hii imeenda[emoji2][emoji2][emoji2]Nikiwa na miak 23 nilihamia kwangu hadi sasa nina miaka 29 nina nyumba 7...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] shikamoo Jf
Eti miaka 26 ana nyumba 4...[emoji28][emoji28][emoji28]Sasa acha tuoneshane makaliiiHii imeenda[emoji2][emoji2][emoji2]
Huku pameshakua kama LinkedIn
Those who don't fake life, wakija tunawapa inspiration, ila tofaut na hapo, imeenda!![emoji2]Eti miaka 26 ana nyumba 4...[emoji28][emoji28][emoji28]Sasa acha tuoneshane makaliii
Ahaaaa you are luckyPia katika nyumba ya ndoto zako kuna mda inatakiwa uwe mkali mana engineer atakua anakosoa mno mara hii kubwa ya kazi gani, mara sjui itakula eneo kubwa we usijali peleka moto2 af mwisho wa siku anakuja kusema mwenyewe kua kumbe uliona mbali
Me nimepinashana sana na engineer wangu kwanza nilimwelekeza tukaelewena ile naondoka kwenda kazin nikakuta amefanya yafuatayo
Kwanza engineer ali set nyumba yangu akaisogeza mbele akamwaga poda na kamba wakaanza kuchimba msingi me narudi sa nane nikakuta imesogea aisee nilipata moto af nikimuuliza anasema kua ameacha space kubwa nyuma ili badae nije nijenge nyumba za kupanga daaaah
Nikamwambia Mzee me sjawai kuwaza maisha yangu yooooooote kua nitakuja ku share gate na mpangaji yan arudi sa 10 af tumfungulie gate nikauvuruga mchoro nikampa tena maelekezo ya mwisho pamoja na kuongeza vipimo japo alisema kama vipimo vimeongezeka basi nimuongeze pesa ya ujenzi nikasema sawa ndo ikawa mambo super
Ata kumwaga jamvi nilipiga ratio ya mkoloni ndo mana jamvi pekee ilikula mifuko 100+
Kikubwa malengo yako yaweke vizuri2 me nimeajiriwa ni kiwa kama form 4 japo nilipata kazi nikiwa na miaka 19 ila nikaanza kupiga shule saivi namalizia bachelor degree mwez wa 7 na mtoto wa kaza saiv ameanza shule na pia nasaidia kusomesha ndugu ko ukiwa na malengo aisee maisha mepesi mno
Epuka makundi ya watu wa kukatishana tamaa pia usikose biashara ya kukuingizia kipato ata kama ukiwa na kazi
OVER
Tofali za kuchoma ni common sana nyanda za juu kusiniHii iko Moshi....hapo ilkua kiangazi!! Kipind cha mvua ona picha hiiView attachment 2670579
SomehowAhaaaa you are lucky
NYUMBA 7 ni uchovu mkuu.. 😀 😀 😀 😀Hahahaah kijana, huu uzi sio wa wachovu, watu wamewahi sana kuhamia kwao, naona kikubwa tupambane sanaaaa