Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Nashukuru Mungu nyumba yangu nimeijenga bila mkopo na kuhamia nikiwa na miaka 26. Watu wengi walihoji how possible,wivu chuki viliibuka lakini yote nilimkabidhi Mungu.
Aiseee kumbe ndiyo maana yake, yaan ukifanya jambo ambalo watu hawategemei eti wanazusha viza.
 
Mwaka huu nilisema ntaanza ujenzi ila kwa hali ilivyo labda 2025.Pamoja na mwenzangu kuniweka kwenye maombi bado hali tete.
Hongera sana, Mungu akusaidir
Una umri gani ndugu 🤔
Unatumia mbinu ya savings au vip
 
29 japokuwa nimeezeka upande lakini tayari nishahamia

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hahahah hivo mkuu, Bongo nyumba ya kwanza tunahamia huku tunaendelea kujenga 😂😂 wengi tiles, fence, mageti, rangi za nje, wengine gypsum zote huwekewa ukiwa unaishi humo humo an, Bila kusahau umeme na maji

Kikubwa nyumba inaishika
Hongera sana
 
Back
Top Bottom