Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

At this age ya miaka 27 nina nyumba tatu masasi chanika kwa matajiri na mbezi kwa yusuph.Magari 3 ranger rover discovery 4, ranger rover vogue na nissan navara na pia nimeoa msudani mahari ilinicost 10 milion halafu hapo mie ni mwalumu tu
Sawa ranger rover, hongera
 
Kwako namaanisha kujenga nyumba yako ya kuishi
 
Oooh, mapema sana, ulipiga mshindo wapi mzee
 
Back
Top Bottom