Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Mwaka 2018, nikiwa na 28 yrs
20230225_141847.jpg
 
Nimehamia mwaka huu nikiwa na miaka 29 nyumba nj kubwa ina room 4 na zote ni room kubwa pia nyumba ina kila kitu sitting room ni kubwa sana sana mpaka sana tena mpka hapa nyumba imekula million 86 na bado inaomba kama million 40 tena ili ikae inavotakiwa nyumba ina tofali 68,500 kuanzia msingi saivi nimeikimbia kwanza nakaagiza gari mana niliona haiishi pia walio design Raman waliniambia kua bila million 130 sitoboi otherwise nigushi ndo itakua chini ya apo
Nimehamia ila saiv naiangalia2 nitacheza nayo tena mwakani ila ningejenga hizi million 40 TU aiseee 2017 ningekua nishahamia , but me nilisubiri niishi nyumba ya ndoto zangu ata gari nimeagiza premio japo haikua lengo ila hesabu zilienda viral ndo mana

All in all sina cha kumlipa mungu kwa hatua hii coz so far nina mashamba na viwanja tena MAKAO MAKUU YA NCHI NA CHAMA
 
Nyumba ina ukubwa gani in terms of sqm??
 
Mpaka ni review tena coz engineering tulipishana kauli mana yeye akawa anafata inavotaka Raman me nikamkatalia mfano sity room alitaka iwe na ukubwa kama wa kwenye Raman nikamwambia noooooo hapana twende sehem kuna sitting room tukaipime ni bonge la sitting room tukaenda akapima na room room zooote nikazipanua ukubwa pia korido zipo mbili nikamwambia ziwi pana zote wapishene watu watatu bila kugusana, pia ilikua na room mbili ambazo sio self nikawambia inatakiwa room moja2 ibaki bila self na pia tulipelekana na kwa mbinde hayo maboresho japo ndan kuna public mbili ila nilitaka me niwe na master pia vyumba viwili viwe self yan mikimaanisha Incase wakija wazazi home kwangu wamalize haja zao chumbani mwao na pia watoto wangu nao wamalize shida zao chumbani mwao, nikapiga na system ya maji moto kote ad public yan me sipendi kulipua mbwai mbwai2
 
Sawa Mzee, ila the way unavyoiongelea ukubwa wake na ukija kusema mpk sasa imekula 86m ni kama vile mtu ajenge hivyo halafu apauwe na kuweka grill tu ndo inaweza kucheza hapo, ila kama umeimaliza kwa kufaa kuhamia still 86m ni ndogo sanaa ndo maana tukauliza ukubwa wa nyumba in sqm, pengine unaweza kusema sebule kubwa sana sanaa kumbe hata 40sqm haijafika ila ni ukubwa tu machoni mwako wewe, nyumba kubwa inapimwa kwa ukubwa wa nyumba in terma of sqm, na makadilio ya gharama huwa ni 500K-600K per sqm (@), hapo inajumuisha kila kitu mpaka finishing zote katika highly standard quality.
 
Ndo nikakwambia kua nimeikimbia saiv kwa ilipofikia inatosha2 kuhamia kibishi it means ad mwakan tena nitairudia saiv nifanye mambo mengine ya msingi pia umenipa assignment ya kufukuzia sqm nitaifanya mkuu
 
Nimehamia mwaka huu nikiwa na miaka 29 nyumba nj kubwa ina room 4 na zote ni room kubwa pia nyumba ina kila kitu sitting room ni kubwa sana sana mpaka sana tena mpka hapa nyumba imekula million 86 na bado inaomba kama million 40 tena ili ikae inavotakiwa nyumba ina tofali 68,500 kuanzia msingi saivi nimeikimbia kwanza nakaagiza gari mana niliona haiishi pia walio design Raman waliniambia kua bila million 130 sitoboi otherwise nigushi ndo itakua chini ya apo
Nimehamia ila saiv naiangalia2 nitacheza nayo tena mwakani ila ningejenga hizi million 40 TU aiseee 2017 ningekua nishahamia , but me nilisubiri niishi nyumba ya ndoto zangu ata gari nimeagiza premio japo haikua lengo ila hesabu zilienda viral ndo mana

All in all sina cha kumlipa mungu kwa hatua hii coz so far nina mashamba na viwanja tena MAKAO MAKUU YA NCHI NA CHAMA
Hongera sana, upo vizuri sana an, kwa Umri huo kuwa na utajiri wa zaidi ya 100M, bila shaka upo kitengo muhimu sana
 
Back
Top Bottom