Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

Mkuu nilikuwa na laki sita nikaanza, na kila mwezi nimekuwa matupia hapo milioni moja, bati nilikuwa nazo 20 nikaongezea kidogo
 
Mapema kabisa, hongera sana mkuu,
Yeah life begins at 40 aiseee
Asante Mkuu

Wakati mwingine presha za kufanikiwa kwa Vijana wa umri wako kusifanye ukate tamaa.

Biblia inasema Mungu alikujua tangu ukiwa tumboni mwa Mama yako, ina maana hata kama utatia juhudi kiasi gani lakini muda sahihi wa wewe kufanikiwa Mungu pekee ndiyo anatoa kibali chako.

Binafsi at 35 nimeweza kuwa na nyumba 4 wakati wapo wengine katika Umri huo hata nyumba ya chumba kimoja bado hawajafanikiwa kujenga.

Kwahiyo muda wako sahihi wa kujenga na kumiliki unaweza kuta bado haujafika.
 
Nimesema kuanzia msingi then me sina haja ya ku fake maisha sjawai kuwaza ata siku moja ndo mana me hua mvivu mno kubishana na mtu
Ila kama upo Dom ni PM uje home
Sina haja ya kuja huko asee, ila uelewe tu hakuna nyumba ya vyumba vinne inajengwa kwa tofali 68500 (elf sitini na nane na mia tano).

Hiyo ni idadi ya tofali za kujengea project kubwa kama ikulu ya Chamwino. Labda utueleze, ni tofali hizi hizi za kawaida au ni tofali size ya biscuit?
 
Ni 6850 kaka sorry ni typing errors
 
Kujenga na kuhamia kwako inategemea umezaliwa familia gani....yenye kipato na uchumi gani....mtazamo wako wa kimaisha ni upi.....

Mathalani yule ndugu yetu marehemu RM....ALIKUWA anaishi kwao mpaka umauti unamfika...49yrs....

Ila ujue hakuwa ni MASIKINI wala FUKARA....[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hawa wanaobisha kuwa watu wamehamia kwao wakiwa na miaka 26 unawapangia watu maisha?[emoji23]

Okay me nimeanza kujenga nikiwa na miaka 25 na mwaka huu namalizia so nitaingia kwangu mwakani nikiwa na miaka 27
 
Kujenga na kuhamia kwako inategemea umezaliwa familia gani....yenye kipato na uchumi gani....mtazamo wako wa kimaisha ni upi.....

Mathalani yule ndugu yetu marehemu RM....ALIKUWA anaishi kwao mpaka umauti unamfika...49yrs....

Ila ujue hakuwa ni MASIKINI wala FUKARA....[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] RM ndio nani tena jamani kumbe hata bongo yupo...mie namjua Namjoon
 
Wasalaam ndugu zangu wa Tanzania wote wa bara na visiwani.

Napenda kujua kwa wale ambao tayari mshajenga na kuhamia kwenu, je, ulifanikiwa kuhamia kwako ukiwa na umri gani? Au nyumba yako yako ya kwanza ulikamilisha ukiwa na umri gani?

Karibu kwa majibu, mimi bado sijajenga.
Kwa kifupi kila mtu ana njia yake.
Kamwe hatuwezi kufanana au kulingana.
Historia ya maisha na mapito ya mtu ndiyo jibu.
 
Sina haja ya kuja huko asee, ila uelewe tu hakuna nyumba ya vyumba vinne inajengwa kwa tofali 68500 (elf sitini na nane na mia tano).

Hiyo ni idadi ya tofali za kujengea project kubwa kama ikulu ya Chamwino. Labda utueleze, ni tofali hizi hizi za kawaida au ni tofali size ya biscuit?
Jamaa kaongeza chumvi, hyo idadi ni kubwa sana
 
30 years nilihamia kwangu aiseee kwa mbinde sanaaa nikikumbukaa nilivyojenga noumaaa sana
Kama ni nyumba ya chini,kuna high possibility ukakaa humo humo mpaka ukafia hapo bila kua na gorofa

Chukua takwimu,wote waliowahi kujenga nyumba za chini ku-transition to gorofa ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano

Awe na hela au asiwe nazo,ni ngumu kupita maelezo maana ile nyumba yake ya mwanzo imegeuka yeye na nyumba ni yeye,hawezi hama hata awe na hela regardless

Jamaa yangu alichelewa kujenga ila finally kajenga gorofa to way much luxurious with budget nearly 1Bilion..

Sasa wenzake waliowahi kujenga vijumba vyao vya chini huko uswahilini viwanja vya milioni sasa hivi are having tough times to upgrade,no money,no power,umri umeenda,etc!

I see this contest funny
 
Back
Top Bottom