Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

23!

Nilipotok JKT niliajiriwa na kampuni fulani ya kikanada wakiwa wananilipa sh 13.50 kwa saa na kuongezea nusu yake baada ya masaa nane kama overtime. Nilijijenga vizuri sana kwa kununua fanicha nzuri na watoto wa kike walinipenda sana kwa ukarimu wangu nyumbani kwangu wakati huo. Nilikuwa na santuri pamoja na Cassetes za miziki karibu yote iliyokuwa maarufu enzi hizo,
 
Sio kupanga mkuu,
Ni ile kuhamia nyumbani kwako kabisa
 
Sio kupanga mkuu,
Ni ile kuhamia nyumbani kwako kabisa
Asante; hilo ni swali tofauti; wakati huo tulikuwa tunafanya kazi kwa kuhama hama kwa hiyo Kujenga sehemu moja na kukaa hapo maisha yoten haikuwa option. Swali lingekuwa sahihi zaidi iwapo ilikuwa kujenga nyumba yako ya kwanza ukiwa na umri gani. Nyumba yangu ya Kwanza nilijenga kijijini nikiwa na miaka 29 na wala sijawahi kuishi kwenye nyumba hiyo; miaka mitano iliyopita nikaivunja na kujenga nyingine yua kisasa zaidi ingawa sijajua kuwa nitaishi kwenye nyumba hiyo pia. Ipo ipo tu kama vacation house nikienada huko kijijini.
 
Ww ndio bure kabisa, yaani biashara ya 50m ndio ukaishi kwny appartment Upanga?!!
 
Safi sana✊kwako ni kwako
 
Hongera sana,
Unaonekana upo makini sana
 
For those ambao mko late 20s au early 30s na hamjajenga au hamna viwanja wala msivunjike moyo ama kukata tamaa, endelezeni haso.. kila mtu atapata kwa wakati wake!
 
ukisema kwako, sisi wa vijijini ambao tukifika miaka 14 tunajenga kajumba ketu pembeni ya wazazi lakini tupo eneo hilohilo, unatuweka fungu hilo hilo pia?
 
For those ambao mko late 20s au early 30s na hamjajenga au hamna viwanja wala msivunjike moyo ama kukata tamaa, endelezeni haso.. kila mtu atapata kwa wakati wake!
Sema nini mkuu,
Mtaani watu wanajenga kwenye 30s kwenye 20s watu wengi wanazunguka tu, na kujitafuta, waendelee kupambana
 
ukisema kwako, sisi wa vijijini ambao tukifika miaka 14 tunajenga kajumba ketu pembeni ya wazazi lakini tupo eneo hilohilo, unatuweka fungu hilo hilo pia?
Kikubwa upo kwako mkuu 😂
 
Hapa Kuna kitu Wengi hawakioni,yaan mtu Hana biashara hata ya milion 10,halafu anaenda kujenga nyumba ya mil40-50mbali na mji,huduma za kijamii hamna,ulinzi ni ziro,halafu ameajiriwa,kwanini usifungue biashara halafu uchukue nyumba safi kwenye mashirika ya nyumba ie.NHC nyumba zipo katikati ya mji hakuna usumbufu wa kibaka,wachawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods wa JamiiForums mnakatwa na Popobawa, mnazingua balaa, yan mimi mwenye hoja nimeandika hoja yangu vizuri, nikiwa namaanisha kitu kingine, niny mnakuna na njaa zenu mnabadili kabisa kichwa na hivo kubadili maana nzima ya uzi,

Ndo mana hii forum haikui kisa tabia zenu za kishoga shoga na kujifanya mnaleta ujuaji mbwa niny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…