Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Miaka hiyo tukitafuta watoto/mimba, relief yake sio kidogo japo hata hakukuwa na mcheps. Leo hii hunipimi hata kwa "greda"!
Endleeni kupima tu, mtapata mnachokitafuta.
Siku nikiumwa nikipelekwa na ndugu zangu, watapima kila wanachotaka na majibu watawapa wao.😂😂
Hata kwa mtutu.
Yaani bora upimwe ukiwa kitandani lakini sio ijipeleke kupima wakati unajiona mzima kabisa
Sijawahi kuogopa Mimi ninachokiogopa ni kuhamishiwa majibu yasiyokua ya kwangu,
Ndio maana hua sipendelei kupimapimaKwa upande wangu mimi ni mwoga wa hivyo vitu.
Hata kama nimepima sasa hivi huwezi niambie nipime tena muda huohuo hata kama majibu yalikuwa salama
Siku nikiumwa nikipelekwa na ndugu zangu, watapima kila wanachotaka na majibu watawapa wao.
Kumbe unatofautiana miaka na miakaUle ukimwi wa 2000 - 2005 ulikuwa sio poa aseeh
kwa nini wanaume huwa tunauogopa kuliko hawa wenzetu?Kwema!
Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi.
Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo salama. Ilikuwaje?
Kwa upande wangu, muda wote nilikuwa na hofu kubwa.
Nilikuwa nawaza itakuwaje kama mmoja wetu akipatikana na ugonjwa huo? Nini kitatokea.
Vipi nikikutwa na hayo maambukizi. Maana Mwanamke yeye hakuwa na wasiwasi, ila mimi hofu ilikuwa dhahiri.
Matokeo yalitoka vizuri. Hiyo ilimaanisha tupo salama na kila mmoja anapaswa kumlinda mwenzake.
Vipi kwako
Hata mimi sielewi kwa nini sisi tunaogopakwa nini wanaume huwa tunauogopa kuliko hawa wenzetu?
Kwa kweli mpaka wa leo nauogopa mnooo
Unaenda Morogoro kupima mwenyewe kivyako vyako ndio unakuja Naye kupima KWA pamoja
kabisa mkuu presha huwa haipungui kabisaKwa upande wangu mimi ni mwoga wa hivyo vitu.
Hata kama nimepima sasa hivi huwezi niambie nipime tena muda huohuo hata kama majibu yalikuwa salama