Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Hahaha boom naona liliokoa wengi kwenye harakati za kuishika milioni
 
Dah ila haya maisha mimi ningeipata nikiwa na 20 maybe ila yule mwanamke akanichelewesha hadi tulipoachana nikiwa na 21 nikashika 1m yangu ya kwanza.

Yaweza kuonekana ni hela ndogo ila kwa mimi kiukweli na maisha niliyotokea without any backup nikafikisha 7digits za kwangu kwa kudunduliza na sio za kuotea au kupewa asee was a miracle.
 
Mwaka huo hiyo ni salary ya mwajiriwa kwa mwaka mmoja.
Kuna ndugu yangu alipata kiinua mgongo 800K mwaka huo.
Miaka zaidi ya 32 kazini .... dah!
Mama wa classmate wangu alikuwa mwalimu alipata 1M kiinua mgongo 1996.
 
Back
Top Bottom