Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Nimetulia kwa makini nasoma comments za wadau mpaka nimejiuliza mimi ni nani na nnakwenda wapi!! Aisee haya maisha haya basi tu
 
Mm nakumbuka nikiwa na miaka 18 nikiwa form 5 mwaka June 2021 nilijibana pesa skuli za matumizi Hadi ikafika 450k then likizo ya mwez WA 12 2020 nikabet mkeka nikawek 50000 nikashinda laki sita nikabet tena nikaweka 150k nikaliwa nikabeti tena 30k nikashinda 300k nikatoa na kutoka apo sijawai beti tena pesa kubwa yote nikachuka 1m nikampa sista akachezea kikoba huo mwaka wote WA 2021 then january 2022 nikaenda crdb nikapata elimu ya zabuni za serikali nikafungua akaunti ya kuwekeza nikanunua miaka 20 maturity Hadi nipo chuo mwaka WA tatu naelekea wanne💯💯
 
Back
Top Bottom