Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
- Thread starter
- #101
duh wenye vilaki tutatoboa kweli 😳Miaka 25 nilikua nauza nafaka zote kuweka store, cjawah itumia npo naipgania ifke 10mil angalau ntajiona mtu.
- kiukwel ukiwa na lak kuigusa mil ni kipengere sana ukiisogelea tu unarud nyuma hatua nying.
- ila ukifanikiwa kufka milion na uchafu hapo kidogo kuipata ya pili sio kaz