Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

Hahaha boom naona liliokoa wengi kwenye harakati za kuishika milioni
 
 
Mwaka huo hiyo ni salary ya mwajiriwa kwa mwaka mmoja.
Kuna ndugu yangu alipata kiinua mgongo 800K mwaka huo.
Miaka zaidi ya 32 kazini .... dah!
Mama wa classmate wangu alikuwa mwalimu alipata 1M kiinua mgongo 1996.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…