Zeemadeit
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 830
- 1,673
Habari zenu.Mungu akijaalia nimepanga kabla huu mwaka haujaisha niwe na kiwanja naendelea kusave save huku nikiisubiri December nifanye jambo langu.
Sasa kinachonitatiza ninapataje kiwanja kizuri au sifa ya kiwanja kizuri ni ipi(nipo mkoani) na ninakipata kupitia dalali ama kuna njia nyingine.
Wenye kumiliki maeneo na nyumba please share na mimi ulipataje eneo lako na uliangalia nini zaidi kwenye eneo hilo.Shukrani