Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Bila kukosa yaani. Extremely important!Yaani hii issue ya majirani nitaifanyia kazi. Thanks.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kukosa yaani. Extremely important!Yaani hii issue ya majirani nitaifanyia kazi. Thanks.
Baadae unajikuta umeuziwa kiwanja eneo linalopita barabara X zikianza kutembea unabaki unamlilia Muumba wa mbingu na ardhi.Vingi havijapimwa unanunua kwa mtu tuu
Nasikia harufu mbaya katika hili, kuna dalili baadae ya watu kulia kilio kikuuuVingi havijapimwa unanunua kwa mtu tuu
Unadhani wale waliobomolewa Kimara walikuwa hawauliziani Kama unavyosema.NJIA FUPI za kununua kiwanja kwa umakini na uhakika na itakao kuokolea gharama mbalimbali kama vile gharama za uvunjifu wa nyumba, mipaka ya kiwanja chako na road reserve, mafuriko, kuuziwa mara mbili, uhalali wa umiliki wa muuzaji, kama kina mgogoro NI MOJA TU waulize majirani wanaolizunguka eneo hilo kwa kupata status ya hicho kiwanja, utapata majibu yote na hutapata shida mbeleni
Unaweza nunua kilichopimwa na ukapata mauza uza vile vileNasikia harufu mbaya katika hili, kuna dalili baadae ya watu kulia kilio kikuuu
Aisee hongera sana kwa bahati hio. Na pia hongera kwa kujenga.Mimi nilinunua kiwanja mwaka 2008 kwa bei ya sh mil 1.5,nakumbuka nilitafutiwa kazi nikawa nalipwa elf 50 kwa mwezi nikataka niikatae ila mama akanipa moyo nikaifanye,lakin huwez amini marupu rupu niliyokuwa nakutana nayo kwenye hyo kazi yakanifanya ninunue kiwanja na kujenga nyumba ya room 3,
Yes na ndiyo maana kwenye post yangu hapo juu nimekazia sana kuuuliza majirani, hao ndiyo watatoa status ya ukweli juu hicho kiwanja na kama kina shida ni lazima watakuambia tu pasipo kupepesa machoNilipotaka nunua, Muuzaji alisimama kwa kunitizama hivi mbele yangu, wakati wa maelewano na kunionyesha mipaka, Nyuma yake nilitizamana na majirani kwa mbaali. wakanikonyeza kuashiria nisinunue! nikawapa dole la kishkaji. yule bwana kajifaragua weee! namskiliza tu. tumawekeana ahadi ya kuja kulipa.
Kesho yake asbuhi nikaanzia kwa Balozi anipi mawili matatu, akanambia kiko sawa nunua tu, sikuridhika nikaenda kwa jirani mwingine, huyu akanionya nisithubutu, nikamalizia na wle majirani walio nitonya wakanipa full scandle, kina mgogoro! wee! nikawakatia chao km shukrani nikasepa.
Kumbe Balozi, wajumbe walisha kula cha juu kupiga debe! cha pili wauzaji huwa wanatumia nguvu za giza kupata hela na kuuza mali zao zenye migogoro! muhimu Uwe na Yesu wa kweli, siyo wa ku beep! au na wewe uwe mchawi km wao!!!!
Usifanye peke yako tafuta mtu wako wa karibu mkienda kununua ili kuepusha utapele na kuongeza umakini,Wee mbona hatari hivyo. Nitakua makini zaidi.
Urahisi pia ni mbaya sana,Nenda Chanika mil2 unapata 20*20 bila shida yyte....
Dalali, muuzaji, mtendaji, balozi hawa huwa ni kitu kimoja wote wanaangalia ulaji, ila jirani ndiyo mtu wa mwishoHakikisha unawashirikisha majirani zako watarajiwa as much as you can.
Nlitaka kununua kiwanja flani juzi juzi tu lakini kwa vile mimi ni mzoefu baada ya kuonyeshwa na dalali nkakubaliana nae kesho yake tuonane. Usiku ule ule nkamuendea jirani. Jirani akaniambia pale kiwanjani kuna makaburi mawili.
Kesho yake kumuuliza dalali hapa kuna makaburi akabaki kujitafuna tafuna biashara ikaishia hapo hapo
Sasa mambo ya kubomolewa inatokea hata majirani pia wanaweza wasijui, ila akishawailizia majirani akaombe kibali cha ujenzi building permit ili apate kuambiwa panafaa au hapafaiUnadhani wale waliobomolewa Kimara walikuwa hawauliziani Kama unavyosema.
Njia ya kuuliza Jirani sio ya kuamini sana
Wangapi wamejenga maeneo salama lakini bado serikali wakipataka panavunjwaUnadhani wale waliobomolewa Kimara walikuwa hawauliziani Kama unavyosema.
Njia ya kuuliza Jirani sio ya kuamini sana
Kilichopimwa sio rahisi si unaenda kuangalia ardhi kina title la naniUnaweza nunua kilichopimwa na ukapata mauza uza vile vile
Ukitaka kuzingatia yote haya, hutakaa ununue kiwanja!Floods, soil, neighbors, distance from workplace & home, pathway etc
Ongezea na umbali wa huduma za msingi kama umeme, maji na barabaraFloods, soil, neighbors, distance from workplace & home, pathway etc
La msingi kabisaOngezea na umbali wa huduma za msingi kama umeme, maji na barabara
Mara nyingi serikali inakulipa na kupewa kiwanja kilicho pimwa, si unaona Kipawa? walipewa viwanja vilivyopimwa Chanika. na unalipwa kulingana na eneo lako kwa mfano km palipimwa na afisa Ardhi na serikali ikapataka tena Pesa yake ni kubwa zaidi plus thamani ya jengo. kuliko aliye jenga sehemu ya kiholela.Wangapi wamejenga maeneo salama lakini bado serikali wakipataka panavunjwa