Thanks i will take them into considerationFloods, soil, neighbors, distance from workplace & home, pathway etc
KUna Njia mbili nzuri za kupata kiwanja moja ni kupitia balozi au kiongozi wa serikali ya mtaa unaopenda kujenga au kuishi. Hao wsnawajua wamiliki halali wa maeneo. Muda mzuri wa kubaini eneo zuri ni wakati wa masika ili kubaini changamoto za eneo hilo. Kupitia dalali gharama huwa juu bora uende kwa wamiliki moja kwa moja.Habari zenu.Mungu akijaalia nimepanga kabla huu mwaka haujaisha niwe na kiwanja naendelea kusave save huku nikiisubiri December nifanye jambo langu.
Sasa kinachonitatiza ninapataje kiwanja kizuri au sifa ya kiwanja kizuri ni ipi(nipo mkoani) na ninakipata kupitia dalali ama kuna njia nyingine.
Wenye kumiliki maeneo na nyumba please share na mimi ulipataje eneo lako na uliangalia nini zaidi kwenye eneo hilo.Shukrani
Ahsante nitafanyia kaziKUna Njia mbili nzuri za kupata kiwanja moja ni kupitia balozi au kiongozi wa serikali ya mtaa unaopenda kujenga au kuishi. Hao wsnawajua wamiliki halali wa maeneo. Muda mzuri wa kubaini eneo zuri ni wakati wa masika ili kubaini changamoto za eneo hilo. Kupitia dalali gharama huwa juu bora uende kwa wamiliki moja kwa moja.
Epuka kununua maeneo ya urithi au ukoo hayo yana migogoro isiyokwisha.
Njia ya pili ni viwanja vilivyopimwa kupitia ofisi za ardhi wilaya. Hapo kuna viwanja aina mbili. Viwanja vya halmashauri na viwanja vya maafisa ardhi. Kazi ni kwako.
NJIA FUPI za kununua kiwanja kwa umakini na uhakika na itakao kuokolea gharama mbalimbali kama vile gharama za uvunjifu wa nyumba, mipaka ya kiwanja chako na road reserve, mafuriko, kuuziwa mara mbili, uhalali wa umiliki wa muuzaji, kama kina mgogoro NI MOJA TU waulize majirani wanaolizunguka eneo hilo kwa kupata status ya hicho kiwanja, utapata majibu yote na hutapata shida mbeleniHabari zenu.Mungu akijaalia nimepanga kabla huu mwaka haujaisha niwe na kiwanja naendelea kusave save huku nikiisubiri December nifanye jambo langu.
Sasa kinachonitatiza ninapataje kiwanja kizuri au sifa ya kiwanja kizuri ni ipi(nipo mkoani) na ninakipata kupitia dalali ama kuna njia nyingine.
Wenye kumiliki maeneo na nyumba please share na mimi ulipataje eneo lako na uliangalia nini zaidi kwenye eneo hilo.Shukrani
AhsanteNJIA FUPI za kununua kiwanja kwa umakini na uhakika na itakao kuokolea gharama mbalimbali kama vile gharama za uvunjifu wa nyumba, mipaka ya kiwanja chako na road reserve, mafuriko, kuuziwa mara mbili, uhalali wa umiliki wa muuzaji, kama kina mgogoro NI MOJA TU waulize majirani wanaolizunguka eneo hilo kwa kupata status ya hicho kiwanja, utapata majibu yote na hutapata shida mbeleni
Ahsante nitafanyia kaziNami naongezea....
-Jitahidi unavyoweza usijenge uswahilini kwa maendeleo yako na kizazi chako.njia rahisi ya kugundua ni aina ya majirani na nyumba zilizokuzunguka(kama kumeshajengwa)
-Fence uweke kipaumbele.bora usimalize finishing lakini ukihamia uwe ndani ya fence
Wee mbona hatari hivyo. Nitakua makini zaidi.Nilipotaka nunua, Muuzaji alisimama kwa kunitizama hivi mbele yangu, wakati wa maelewano na kunionyesha mipaka, Nyuma yake nilitizamana na majirani kwa mbaali. wakanikonyeza kuashiria nisinunue! nikawapa dole la kishkaji. yule bwana kajifaragua weee! namskiliza tu. tumawekeana ahadi ya kuja kulipa.
Kesho yake asbuhi nikaanzia kwa Balozi anipi mawili matatu, akanambia kiko sawa nunua tu, sikuridhika nikaenda kwa jirani mwingine, huyu akanionya nisithubutu, nikamalizia na wle majirani walio nitonya wakanipa full scandle, kina mgogoro! wee! nikawakatia chao km shukrani nikasepa.
Kumbe Balozi, wajumbe walisha kula cha juu kupiga debe! cha pili wauzaji huwa wanatumia nguvu za giza kupata hela na kuuza mali zao zenye migogoro! muhimu Uwe na Yesu wa kweli, siyo wa ku beep! au na wewe uwe mchawi km wao!!!!
Nenda Chanika mil2 unapata 20*20 bila shida yyte....Habari zenu.Mungu akijaalia nimepanga kabla huu mwaka haujaisha niwe na kiwanja naendelea kusave save huku nikiisubiri December nifanye jambo langu.
Sasa kinachonitatiza ninapataje kiwanja kizuri au sifa ya kiwanja kizuri ni ipi(nipo mkoani) na ninakipata kupitia dalali ama kuna njia nyingine.
Wenye kumiliki maeneo na nyumba please share na mimi ulipataje eneo lako na uliangalia nini zaidi kwenye eneo hilo.Shukrani
Yaani hii issue ya majirani nitaifanyia kazi. Thanks.Hakikisha unawashirikisha majirani zako watarajiwa as much as you can.
Nlitaka kununua kiwanja flani juzi juzi tu lakini kwa vile mimi ni mzoefu baada ya kuonyeshwa na dalali nkakubaliana nae kesho yake tuonane. Usiku ule ule nkamuendea jirani. Jirani akaniambia pale kiwanjani kuna makaburi mawili.
Kesho yake kumuuliza dalali hapa kuna makaburi akabaki kujitafuna tafuna biashara ikaishia hapo hapo
Hivi vinakuwa vimepimwa mkuu hivi viwanja vya chanika?nenda chanika mil2 unapata 20*20 bila shida yyte....
Vingi havijapimwa unanunua kwa mtu tuuHivi vinakuwa vimepimwa mkuu hivi viwanja vya chanika?