Salam humu.
Naona tatizo lililotokea limeonesha jinsi gani mawasiliano yalivyo muhimu kwa Taifa.
Mitandao ya mawasilianao ya simu na wadau wengine ilipaswa kuwa ya kwanza kutujuza sisi wateja kuwa kuna tatizo la katizo la mawasilianao ya kimtandao ,,but they come later..labda sijui kuhofia biashara au kitu gani sijui ama walikuwa wanaangalia situation inavyoenda kwanza.
Lakini watu walikuwa wanahangaika kulikoni huko hewani kuna nini.
Pamoja na hayo tunayashukuru haya makampuni ya mawasiliano kwa huduma.
Mimi kwa mwendo wa pole pole ya internet taarifa nilipata humu Jf page pekee niliyoweza kufungua zingine zote ilikuwa bilabila mpaka mpira unaisha.
Hongera tena Jf..hebu tujuze mwenzetu ilikuwaje.