Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Utoke wapiNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Kama wana tecs ya hali yajuu itakayo tuhakikishia Umeme hautakatika hakuna ubaya kuliko hali hii mbovu iliyopo,muda wetu ni mchache sana duniani basi tuutumie kuishi bila stress, hapa nilipo HAKUNA Umeme nimeswitch off welding machine,TUNAJENGA TAIFA KWA KUPIGA SOGA NA KUJADILI WARAKA,!
Acha ufala we ni msemaji wa tanesco watu wanakosa biashara unakuja na neno ''kama" kuna vitu vingine ongeeni kama watu sio chawa, unaleta hasira sanaKama wana tecs ya hali yajuu itakayo tuhakikishia Umeme hautakatika hakuna ubaya kuliko hali hii mbovu iliyopo,muda wetu ni mchache sana duniani basi tuutumie kuishi bila stress, hapa nilipo HAKUNA Umeme nimeswitch off welding machine,tunapiga soga sasa.
Nchi ipo gizani mchana huuNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Wapi ulipo Dar?Hakuna umeme