Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

Exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2021
Posts
1,477
Reaction score
3,642
Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.

Je ulipo wewe umeme upo?

Pia soma;

 

Attachments

  • Screenshot_20230822-104949_Twitter.jpg
    Screenshot_20230822-104949_Twitter.jpg
    150.2 KB · Views: 5
Basi DPW wachukue na TANESCO The Boss FaizaFoxy
Kama wana tecs ya hali yajuu itakayo tuhakikishia Umeme hautakatika hakuna ubaya kuliko hali hii mbovu iliyopo,muda wetu ni mchache sana duniani basi tuutumie kuishi bila stress, hapa nilipo HAKUNA Umeme nimeswitch off welding machine,TUNAJENGA TAIFA KWA KUPIGA SOGA NA KUJADILI WARAKA,!
 
Kama wana tecs ya hali yajuu itakayo tuhakikishia Umeme hautakatika hakuna ubaya kuliko hali hii mbovu iliyopo,muda wetu ni mchache sana duniani basi tuutumie kuishi bila stress, hapa nilipo HAKUNA Umeme nimeswitch off welding machine,tunapiga soga sasa.
Acha ufala we ni msemaji wa tanesco watu wanakosa biashara unakuja na neno ''kama" kuna vitu vingine ongeeni kama watu sio chawa, unaleta hasira sana
 
Back
Top Bottom