Ulipo kuna umeme muda huu?

Walikodi mtambo kutoka India kwa gharama ya bilioni 60kila mwezi toka mwaka Jana wakitudanganya kuwa huo mtambo utakuwa suluhisho la matatizo ya umeme lakini imekuwa kinyume chake.kila siku umeme shida lakini wahindi na software yao ya mchongo wanaendelea kukunja bil60 kila mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…