Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

Walikodi mtambo kutoka India kwa gharama ya bilioni 60kila mwezi toka mwaka Jana wakitudanganya kuwa huo mtambo utakuwa suluhisho la matatizo ya umeme lakini imekuwa kinyume chake.kila siku umeme shida lakini wahindi na software yao ya mchongo wanaendelea kukunja bil60 kila mwezi.
 
Pale ambapo simu ina 24%[emoji18][emoji18][emoji26]
Hapo sasa
Screenshot_20230822_130118.jpg
 
Back
Top Bottom