Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Songea,Iringa,Mbeya ni giza tangu asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenu usharudi mkuu🤔🤔
Pole sana aisee 🤦♀️
Hahah🤣🤣🤣Hapa ndio tunajua watu wanapoishi🤣
Watz mna gubu sana watu wasifanye marekebisho kisa wewe simu yako haina chaji unataka kuchat
Nikuulize swali hali hii imekuwa inajirudia rudia au?Watu kama nyie ni hasara kwa taifa, kwahiyo wewe umeona matumizi ya umeme ni kwaajili ya kuchat? Inaonekana unategemea ugali wa shikamoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umerudi saizi mkuu🤗Songea,Iringa,Mbeya ni giza tangu asubuhi
Umerudi baada ya dakika 5 umekata daaa!🤣🤣🤣Huooooooooooooooo🤗🤗🤗
Huku bado upo mkuu😂😂Umerudi baada ya dakika 5 umekata daaa!🤣🤣🤣
Hizo ndio zao januari maharage🤣😂Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Weka voice note!..Huooooooooooooooo🤗🤗🤗
Ya nini mkuu 😀😀Weka voice note!..
Huku bado upo mkuu
Subirini na kwenu,, hope hautachukua mda mrefuHongera zenu👏👏
Sawa mkuu ebu niwe na subira.Subirini na kwenu,, hope hautachukua mda mrefu
YeahSawa mkuu ebu niwe na subira.