Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Gas nina kamtungi kadogo kalikata sijawahi kujaza tena asee nilikaa nikajua umeme utarudi tu muda si mda mpaka nikasinziaAhhaha unatumia jiko la umeme pkee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gas nina kamtungi kadogo kalikata sijawahi kujaza tena asee nilikaa nikajua umeme utarudi tu muda si mda mpaka nikasinziaAhhaha unatumia jiko la umeme pkee
Ngoja nipate matumaini ya kula. Labda wanarudisha kwa batch 🤣Tayari mkuu😀
Msalimie Chris's Hana umemeSongea mkuu, karibu sana 🙃🙃
Muonee🤣🤣🤣Ukisema huooooo
😂😂😂 ndio maana tuna shauri nunueni ges kubwa na mkaa ndani usikosekaneGas nina kamtungi kadogo kalikata sijawahi kujaza tena asee nilikaa nikajua umeme utarudi tu mda si mda mpaka nikasinzia
Sawasawa...zimefika👊Msalimie Chris's Hana umeme
Yeah.Mahenge unapajua
Labda🤗🤗Ngoja nipate matumaini ya kula. Labda wanarudisha kwa batch 🤣
Wote kwa pamojaa🤣🤣Hivi wanaosema uwoooo umerudi, ni vijana au ni akina baba/ akina mama 😂😂
Bachelor na mikaa tena wapi na wapi?😂😂😂 ndio maana tuna shauri nunueni ges kubwa na mkaa ndani usikosekane
Jamani😀😀😂😂😂...kuna watu wana bachelor na wanapikia kuni sembuse mkaa mkuu🤣🤣🤣🤣🙌Bachelor na mikaa tena wapi na wapi?
Hahahah🤣🤣🤣🤣🙌Ccm imeturahibu sana unashangilia umeme aisee kurudi 😂😂 ukiwa na mgeni wa ulaya akiona watu wanashangilia atashangaa sana
VizuriUmerudi huku, Mby
Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com