Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sasa kitaava kwadakika moja?Dah ngoma imerudi hapa asee ngoja nipike chapa hawakawii kurudisha muamala hawa Tanesco 🤣🤣 Leejay49 Mwachiluwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kitaava kwadakika moja?Dah ngoma imerudi hapa asee ngoja nipike chapa hawakawii kurudisha muamala hawa Tanesco 🤣🤣 Leejay49 Mwachiluwi
Uncle fanya uhame uko😀😀..umeme usharudiWakuu,
Nchi imekuwa ngumu sana hii, kwa namna hii maendeleo tutaendelea kuyasikia kwa majirani...tupo gizani!!
Huko Songea umerudi mpwa? Kwamba huko "bush" kuna umeme huku bado?🤣Uncle fanya uhame uko😀😀..umeme usharudi
Fanya hivyo, kibebe Kitambulisho, Mkuu utanishukuru BaadayeKwanini mkuu nijuze
Huku umerudi kitambo uncle 😀😀🤣🤣Huko Songea umerudi mpwa? Kwamba huko "bush" kuna umeme huku bado?🤣
Mdogo mdogo tu hapa nususaa ijayo nakulaSasa kitaava kwadakika moja?
Dah pole sanaMdogo mdogo tu hapa nususaa ijayo nakula
Huku amnaNauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Pia soma;
TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...www.jamiiforums.com
Hapa pia umerudi dk 6 zilizopitaHapa Mbezi Beach ulikatika ukarudi kwenyw saa sita hivi ukakatika tena ukarudi saa nane ukakatika tena umerudi kama dk tano zilizopita. Wacha nicharge simu kabisa dalili siyo nzuri
Asikudanganye MTU Tanesco inavyanzo vya umeme Zaidi ya 10Halafu huu ni ujinga, yaani nchi nzima inategemea kapointi kamoja tu umeme unakata pote!
Kwa nini wasingedecentralize hizo power sources and control zikawa hata kimajimbo au kanda?
Kwa fizikia ya darasa la tatu sijui la sita ina maana nchi yetu inatumia muundo wa mfuatano na sio muundo sambamba!!!?