Ulipo kuna umeme muda huu?

Kigoma utarudi kweli au mpaka uchaguzi mkuu
 
JamaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...kuna watu wana bachelor na wanapikia kuni sembuse mkaa mkuuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
Mimi mazingira yangu hayaniruhusu mkaa. Hata hiyo gas sikunuua maana sipiki mara nyingi ni mara chache chache sana. Kama hiyo gasi ndogo iliishi mwezi wa sita na nilikuwa nimeinunua January
 
Huu umeme haupo Tz nzima, ile kusema "baadhi ya maeneo" ni kupunguza muonekano wa madhaifu yao.
 
JamaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...kuna watu wana bachelor na wanapikia kuni sembuse mkaa mkuuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
Mimi mazingira yangu hayaniruhusu mkaa. Hata hiyo gas sikunuua maana sipiki mara nyingi ni mara chache chache sana. Kama hiyo gasi ndogo iliishi mwezi wa sita na nilikuwa nimeinunua January
 
Shida yenu mnalilaumu Sana taifa mkijua nyinyi sio sehemu ya taifa, anza kujilaumu kwanza wewe, maana wewe ndio taifa, tatizo tunafikiri taifa ni just watu watatu wanne
 
Basi pole mkuuπŸ˜€πŸ˜€...ikitokea umeme umekata siku mbili na hauna hela maanake hautakula🧐
 
Shida yenu mnalilaumu Sana taifa mkijua nyinyi sio sehemu ya taifa, anza kujilaumu kwanza wewe, maana wewe ndio taifa, tatizo tunafikiri taifa ni just watu watatu wanne
Ajilaumu kwa kushindwa kufanikisha nini, na kwa mamlaka gani aliyonayo kwenye taifa hili hata kama yeye ni sehemu ya taifa hili..?

Waache kulaumiwa wanaoshikiria makusanyo ya pesa za taifa hili, kisha aje kulaumiwa mlipa kodi, tena kwenye issue ya umeme kukatika.?

Hii ni reasoning gani?
 
Wakuu,
Nchi imekuwa ngumu sana hii, kwa namna hii maendeleo tutaendelea kuyasikia kwa majirani...tupo gizani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…