Ulipo kuna umeme muda huu?

Hapa Mbezi Beach ulikatika ukarudi kwenye saa sita hivi ukakatika tena ukarudi saa nane ukakatika tena umerudi kama dk tano zilizopita. Wacha nicharge simu kabisa dalili siyo nzuri
 
Huku amna
 
Hapa Mbezi Beach ulikatika ukarudi kwenyw saa sita hivi ukakatika tena ukarudi saa nane ukakatika tena umerudi kama dk tano zilizopita. Wacha nicharge simu kabisa dalili siyo nzuri
Hapa pia umerudi dk 6 zilizopita
 
Asikudanganye MTU Tanesco inavyanzo vya umeme Zaidi ya 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…