Ulipo kuna umeme muda huu?

Kwa kifupi tayari Tanesco ipo decentralized.. kitambo sana
 
Hauna umeme wanahamisha nyaya kutoka kwenye nguzo za miti kuweka kwenye nguzo za zege

Kazi iendelee

yudaexalioth
jf_Geita
 
Sina maana mbaya likininaomba kuuliza.. Zanzibar upo?[emoji23]
 
Wenye nyumba hamna haja ya kuteseka na umeme, kuliko kulipa umeme wa TANESCO jaribuni kuwekeza kwenye solar, TZ kuna jua kuliko mahitaji, na wanaojenga wahakikishe solar ni muhimu kama maji
 
KUWENI wavumilivu tunasubiri mtaalam kutoka south aje atatue. So umeme ni mpk J5 au alhamis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…