dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
nna 44%Pale ambapo simu ina 24%πππ₯
Pole sana aisee ππ
Kimara mkuu....Tatizo umeme ukikatika mchana huwezi kuchungulia nje kwa majirani ili ujue ni kwako peke yako au kote[emoji28]Wapi huko mkuu[emoji2][emoji2][emoji851]
Wapewe waarabu shirika la umemeTaifa lenye miaka 62 ya uhuru wa kujitawala lenyewe bado halijitoshelezi umeme wa kutosha licha ya uwepo wa vyanzo vingi vya kuweza kuzalisha umeme huo.
Umeme mgao, maji mgao, miundombinu duni, huduma zingine za kuunga unga tu.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Afadhali wewe kidogo...nimeweka saving mode hapa lakini sidhani kama nitatoboa nayoπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈnna 44%
Hili nalo tatizo ππKimara mkuu....Tatizo umeme ukikatika mchana huwezi kuchungulia nje kwa majirani ili ujue ni kwako peke yako au kote[emoji28]
86%
Yani hapa Posta karibu na ikulu watukatie halafu huko uzaramuni wauache?Nikadhani ni hapa tu msasani
hahahahaSgr ikikamilika tutaiendesha kwa umeme wa mavi naona nchi ngumu hii
Hongera mkuu
hahahahahaYani hapa Posta karibu na ikulu watukatie halafu huko uzaramuni wauache?
Utarudi vumiliaHili nalo tatizo [emoji18][emoji18]
Kwakweli, hatuna namnaπ€π€Utarudi vumilia
ah wapi, ni tecno Y4, 40%mda huuAfadhali wewe kidogo...nimeweka saving mode hapa lakini sidhani kama nitatoboa nayoπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
Shukran ila Kimara umeme umerudi saiv huooooHongera mkuu
Pole sana aisee, leo ndo takapoona umuhimu wa power bankππah wapi, ni tecno Y4, 40%mda huu