Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

20230822_120642.jpg
 
Mi kwangu hata wakate umeme na maji mwaka hata sina habari nao. Maana akatt najenga nlipanga nisivute umeme wala maji so nlijipanga, mambo ya shemeji yenu tu kuamini vya bili ndo vizuri. But analipia 200 au chini ya hapo kwa mwezi
 
Back
Top Bottom