Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

Aisee tupo kama tumelogwa vile..

Mafala mafala kabisa...yaani Mwanza na yenyewe inakuwa na shida ya maji..
Ni zaidi ya uwendawazimu, sijui hizi halamshauri zinafanya nini? lakini wanaowachagua hao madiwani ni wananchi wenyewe, wananchi wachukue hatua kupambana na watendaji wao wabovu la sivyo huu upuuzi hautaisha, hili la maji ni halmashauri na wanakusanya kodi, budget za halimashauri zinaweza kumaliza huu upuuzi lakini wananchi lazima waamue hawataki hilo tatizo
 
Huu umeme haupo Tz nzima, ile kusema "baadhi ya maeneo" ni kupunguza muonekano wa madhaifu yao.

Haya ni Makusudi. Kuyaita madhaifu ni kufunika kombe mwanaHaramu apite.

Brother K kafanyiwa cyber violence tangu juzi, pumzi nusura ikate.
 
Jimbo la Mikumi, umeme upo kmaa wote.
Japo ulikuwa unakatika, unarudi.
Ila kuanzia saa 7 mchana mpaka huu upo active.
Mambo mwakeeee
 
Kbimeshen na Mharage chande + na january Makamba ni shida,Mitambo ya kufua umeme wa gesi MW 243 ndio nchi nzima ziii gizani.
 
Duuh,mwendo wa kuvaa nguo bila kunyoosha umerudi tena😯,walileta umeme saa Tano usiku wamekata saa kumi na Moja asubuhi.
 
Back
Top Bottom