Ulipo kuna umeme muda huu?

Ulipo kuna umeme muda huu?

Hivi ikifika mwenzi December itakuwaje maana
 
Tunaendelea na ratiba yetu ya kukaa gizani. Kama hakuna umeme ulipo punga mkonoo🖐 Nipo Geita. Gizani.
 
Walisema mwisho tareh 28 leo tareh 29 Washakata tena mapeemaaaa alfajir
 
Back
Top Bottom