Siwezi kumkumbuka huyo Roho mbaaya...hata nifeee...View attachment 1906800
Japo wapo watakaochukia picha na wazo hili, pia wapo watakaofurahia kumbukizi hili. Jamaa alilaumiwa kwa mengi pamoja na kufanya mengi. Sasa hayupo na mengi yanasemwa kuhusiana na waliomrithi. Je wewe kama mtanzania usawa huu wa tozo na kesi za ugaidi usio kichwa wala miguu, unammiss huyu mwamba au la? Nashauri mchangie kwa staha na si matusi wanangu. Hebu tujikumbushe enzi zile na hizi tuweze kutafuta majibu ya maswali ambayo hadi sasa hayajapatiwa majibu. Kila la heri wanangu.
Na haiwezekani watu wote wakakupenda/kukuchukia, hvy kupendwa na kuchukiwa na mtu ni jambo jema sana.Hii ni aina mojawapo tu ya unafiki, watu wanakupenda wakati usiofaa na wanakuchukia wakati unaofaa...
Sahihi kabisaPolitical titan. He has left a lasting legacy on highest level of democracy.
Alikuwa anakutana na wapiga kura wake vijijini kwao kwenye makazi yao na kuyatatua matizo yao sehemu wanazo ishi wapiga kura wake.
Kiongozi wa juu kabisa kukutana na mpiga kura wake wa chini kabisa nyumbani kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani we acha tu:Political titan. He has left a lasting legacy on highest level of democracy.
Nakubaliana nawe katika hili tena 100%.Watu wengi sana mioyo inamkumbuka sana ila midomo ina aibu sana.
Matatizo ya Watanzania ni CCM, Chanzo Cha Matatizo na katiba ya mwaka 1977View attachment 1906800
Japo wapo watakaochukia picha na wazo hili, pia wapo watakaofurahia kumbukizi hili. Jamaa alilaumiwa kwa mengi pamoja na kufanya mengi. Sasa hayupo na mengi yanasemwa kuhusiana na waliomrithi. Je wewe kama mtanzania usawa huu wa tozo na kesi za ugaidi usio kichwa wala miguu, unammiss huyu mwamba au la? Nashauri mchangie kwa staha na si matusi wanangu. Hebu tujikumbushe enzi zile na hizi tuweze kutafuta majibu ya maswali ambayo hadi sasa hayajapatiwa majibu. Kila la heri wanangu.
Matatizo ya watanzania ni watanzania wenyewe kutojua wanachopaswa kufanya. Hiyo katiba mpya ambayo Kenya waliipata imewasaidia nini bila kujipanga. Afrika Kusini ewana katiba bora kuliko zote Afrika.Matatizo ya Watanzania ni CCM, Chanzo Cha Matatizo na katiba ya mwaka 1977
Mbele ya uchumi wa kati wa juu tunashida gani! Huo ni uzushi, watanzania hatuna shida, ndege tunazo, SGR tunayo, fulahiova zimajaa nyingine limasanja linagalagala bila shida na mengine mengi ambayo nchi nyingine hayapatikani.Nyie jamaa jamii yenu inaonekana ni ya watu wa fitna na umbea sana yani unapigiwa simu kupewa taarifa ya meko kufariki, real? Mkiacha shida zote tulizonazo kama taifa!
Political titan. He has left a lasting legacy on highest level of democracy.
Alikuwa anakutana na wapiga kura wake vijijini kwao kwenye makazi yao na kuyatatua matizo yao sehemu wanazo ishi wapiga kura wake.
Kiongozi wa juu kabisa kukutana na mpiga kura wake wa chini kabisa nyumbani kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa mchezo mchafu...Political titan. He has left a lasting legacy on highest level of democracy.
Alikuwa anakutana na wapiga kura wake vijijini kwao kwenye makazi yao na kuyatatua matizo yao sehemu wanazo ishi wapiga kura wake.
Kiongozi wa juu kabisa kukutana na mpiga kura wake wa chini kabisa nyumbani kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
'Bora kafa'; wengi wamesema hivyo.Sikumbuki nilikua wapi wakati napata taarifa ya kifo cha mwendazakesikusikiti
Matatizo ya watanzania ni watanzania wenyewe: tuna chama kinachojiita kikubwa cha upinzani kina umri zaidi ya miaka 25 sasa lakini hakina ofisi ya makao makuu, wala kiwanja wanapotarajia kujenga hiyo ofisi, lakini walikuwa wanapokea mabilioni ya pesa za ruzuku. Wakiulizwa wanasema matatizo ya watanzania ni ccm, utafikiri nao ni tawi la ccm!Matatizo ya Watanzania ni CCM, Chanzo Cha Matatizo na katiba ya mwaka 1977