Nilikuwa maporini tohara, jama mmoja alikuwa amebeti,akadamka zake sa 7 usiku kwemda kuchek mkeka kwenye ka mlima fulani mbali kidogo na geto, m 200 from nyjmba ya makazi, akaenda kuchek kama umetik maana ilibika timu moja ya chile, ile anachek akakuta amekula 700,000 na ushee, akawithdraw, sasa kabla hajarud kulala akasema apitie fb, mara nakuta na R.I.P ITV PAGE, akasema hapana ngoja nijaribu na azam the same story, akaja kutukurupusha akiwa mwenye furaha, tangu mda huo hatukulala tena tukaenda baa kumuamsha mhudumu na kuanza kula vitu