ALEX_ANDER
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 570
- 816
Hongera mtoa uzi inaonesha watz wengi wana akili mfanano tena - hakuna anaewaza kuwa awe na kitu flani cha kipekee wote wawaza ngono tu hakyananiii yakhe
hahahahaha nimecheka mwenuyewe wee mkaka Mungu anakuona
Now unawakomesha ile mbaya unawatimizia haja zao ndio maana wanakuganda kama ruba[emoji12] [emoji12] [emoji15]
Notorious drug dealer?Nilitamani kuwa kama PABLO ESCOBAR.
hahahahahahah sio mabaya nasema tu Mungu anakuona utambue hiloMbona unaniombea mabaya, mi nakula raha yangu.
hahahahahahah sio mabaya nasema tu Mungu anakuona utambue hilo
salama mkuu?
hahahahhaha nije nimevvaaaje?Sawa, njoo basi nyumbani uniombee maana umeshanipa wasiwasi tayari, ila usije na mtu uje pekee.