Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

Now unawakomesha ile mbaya unawatimizia haja zao ndio maana wanakuganda kama ruba[emoji12] [emoji12] [emoji15]


Inaboa kishenzi.....mi nataka badilisha mboga wao wanazidi kurudi tu kila kukicha na ndiyo maana ninahama kila mara kwani sitaki wazoee kwangu.
 
Nitaman niwe na kwang, na Uhuru waamuzi kwani ile hali ya kutoshirikishwa katika maamuzi ya kifamilia Kisa mtoto ilinikera sana.
 
Back
Top Bottom