sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Sio siri Mimi sikutamani kabisa kuwa mkubwa maana kuna kasauti kalikuwa kanakuja kichwani kananiambia "don't grow up its the trap" kanasema "usikue ni mtego"
But papuchi ilikuwa inakinzana na wazo langu hapo juu. Maana ili ugegede kwa Uhuru lazma ukue.
Ha ha ha ha ha Mkuu, u made my day lol..