Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

905bbfc10b6c0d558399a6ca1ddf2c19.jpg
 
Nilipokuwa mdogo kama darasa la kwanza hv Pwani Shule ya msngi nilijiapiza sitasoma zaidi ya darasa la pili nilikuwa naogopa kusoma vibaya mnoooo. Nilikuwa nadhani nitashindwa kusoma ila ajabu mpaka nikamaliza fresh tuu nikikumbuka nacheka saaana.[emoji3][emoji3]
Pia nilikua nataka niwe mkubwa ili nimalize shule tuu nikae nyumbani nilikuwa nawaonea wivu saaana watu wakibaki nyumbn mm naenda shule. Darasa la saba nilikuwa natega sana shule!![emoji3][emoji3][emoji3] ila sasa nikamaliza shule nipo mtaani nilitamani nirudi hata shule nikafagie tuu madarasa.
Pole saa ulikuwa unawaonea wivu wakubwa wakat unaenda shule asbuhi unaona wao wanafaidi sana sasa unatamani urudi shule utoto buna [emoji23][emoji23]
 
Nilitamani kukuwa ili niwe nachapa mademu tofauti tofauti kila siku na sijutii kurudi nyuma, nina enjoy ile mbaya ila nachukia tu wanaponiganda, yaani wanakuwa wagumu kusoma alama za nyakati.
Now unawakomesha ile mbaya unawatimizia haja zao ndio maana wanakuganda kama ruba[emoji12] [emoji12] [emoji15]
 
Back
Top Bottom