Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

Nilikuwa natamani kuwa huru tuu, coz Mdingi na Maza walikuwa na sheria kali hom
 
kuna mambo kama mawili Hivi yaliyokuwa yananifnya nitamani kuwa mkubwa

(1) nilikuwa nikiona wanawake wenye chura nasema wakubwa wanafaidi ..
kauli hii ilikuwa inanipa tamaa ykupnda kuwa mkubwa

(2) nilikuwa natamani niwe mkubwa ili kurejesha vipigo nilivyokuwa na vipata kwa watu walionizidi umri
 
Nilikua napenda sana kulala sasa tatizo kuamka SAA kumi na mbili eti nawahi shule hakuna kitu nilikua natamani kama na Mimi niwe mkubwa niwe nalala mpaka muda nitakaojisikia ...nilikua nawaonea wivu sana walimu eti anakuja shule SAA mbili
 
Kuish maisha ya uchaguzi wangu. Kufanya yale ninayoyataka kwa kuzingatia Amri za Mungu
 
Nilitamani niwe nduli dikteta kama uchwara vile nionee wengine.
 
Nilitamani niwe na power...nilikuwa sipendi kuona rafiki zangu wakionewa na wakubwa.
 
Mimi wala sitaman kuwa mkubwa sipendi uzeee jaman uwii nilitaman niwe kisichana tu miaka yoteee ili niwe naringa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] vp bado unaringa?[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom