Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Haha umenikumbushia binti mmoja, sikuwahi mtongoza, ila ni mara moja nilimpa tu kijizawad kidogo, Sasa alifikiri namtaka kimapenzi, sahiv nkikutana Naye anafunika uso wake na sweta, au akiniona anabadilisha njia uujn
Atakuwa hajawahi kupewa zawadi huyo ndo mana mawazo yake yalifika mbali [emoji28]
 
Haha umenikumbushia binti mmoja, sikuwahi mtongoza, ila ni mara moja nilimpa tu kijizawad kidogo, Sasa alifikiri namtaka kimapenzi, sahiv nkikutana Naye anafunika uso wake na sweta, au akiniona anabadilisha njia uujn
Usimuache musaidie hata siku moja.
 
Yule mbuzi alinipa vitu vingi ila tulipoachana akadai nimrudishie pasi tu. Nilimrudishia kila mtu akashika 50 zake.
Wengine muwe mnawadhurumu.
Ila kama mimi anarudisha vitu vyangu.
 
Sitaki kesi watu wakaanza kunililia mimi![emoji124][emoji124][emoji124] [emoji124][emoji124][emoji124]
🤣🤣🤣 Kama kuna watu watalia tutawapoza kwa 🍺🍺🍺 watatulia tu.
 
Back
Top Bottom