Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Sichukui hata kukumbushia siwezi tukiachana basi nilivokupa ni vyako ulivonipa kama utavihitaji nitakupa pia, Kuna mama moja nilikuwa nayo rufiji huko ikwiriri nilikuwa nalipa kodi mimi na vitu vya ndani nilikuwa nanunua mimi baadhi ndo vilikuwa vya kwake, tukaja zinguana baada ya kukuta ana msela mwingine anaempa utelezi tukaachana na nilikwenda tu kuchukua koti langu nilioning"iniza kwenye msumari basi na kodi ilikuwa inaisha nikamuachia na pesa ya miezi mitatu mbele ili asitetereke....
Dah nahisi atakukumbuka hasa mahusiano yake yakiingia mchanga.
 
Ungempa chance nyingine
Unajua huyo mtu alikuwa anashida nawanawake anapenda ila hawezi kuwaridhisha kama mwanaume yaani alilogwaga na mwanadada kisa alimtelekezana mimba akakataa sasa haifanyi kazii vizuri mara inafanya halafu haifanyi.
Ila kwa wadada hafai kwa hiyo uyo ni watatu namfumania tu .
Nahiyo shida anayo badala tuitatue yupo busy kufanya yake. Ujinga ujinga
 
Dah nahisi atakukumbuka hasa mahusiano yake yakiingia mchanga.
Haikupita hata week huyo jamaa ake aliekuwa anamwaminia kuliko mimi nae akabwaga manyanga bahati mbaya na alipokuwa anafanya kazi akasimamishwa kazi hadi apeleke vyeti og na alikuwa mwalimu wa shule binafsi kimbembe kiakaanzia hapo jamaa kammkataa ikabidi tu atumie ndugu yake wa karibu kuniface mimi, sikuwa na hiyana nilimsaidia kila kitu na mpaka nauli ya kurudi kwao maana kazi ilibuma... Mpaka leo anahitaji turudiane naatamani kurudisha moyo nyuma ila nikikumbuka uchafu wake moyo unakuwa mweusi kabisa...
 
Unajua huyo mtu alikuwa anashida nawanawake anapenda ila hawezi kuwaridhisha kama mwanaume yaani alilogwaga na mwanadada kisa alimtelekezana mimba akakataa sasa haifanyi kazii vizuri mara inafanya halafu haifanyi.
Ila kwa wadada hafai kwa hiyo uyo ni watatu namfumania tu .
Nahiyo shida anayo badala tuitatue yupo busy kufanya yake. Ujinga ujinga
Pole yake huenda alidhani tatizo linaweza kuwepo kwa mwanamke hivyo alifanya kupita kwa wanawake wengi akidhani kwa wengine wanaweza kuwa hawana tatizo na atafanya vizuri
 
Haikupita hata week huyo jamaa ake aliekuwa anamwaminia kuliko mimi nae akabwaga manyanga bahati mbaya na alipokuwa anafanya kazi akasimamishwa kazi hadi apeleke vyeti og na alikuwa mwalimu wa shule binafsi kimbembe kiakaanzia hapo jamaa kammkataa ikabidi tu atumie ndugu yake wa karibu kuniface mimi, sikuwa na hiyana nilimsaidia kila kitu na mpaka nauli ya kurudi kwao maana kazi ilibuma... Mpaka leo anahitaji turudiane naatamani kurudisha moyo nyuma ila nikikumbuka uchafu wake moyo unakuwa mweusi kabisa...
Unaweza kumufikiria ukampatia chance nyingine maana watu hujifunza kutokana na makosa hivyo atakuwa amejirekebisha
 
Uko sahihi kabisa issue ni kwamba kama akikiri kwa dhati na kujutia makosa yake basi si mbaya tutarudi kwa mahusiano hivyo lazima nimpe muda wa kufikiria zaidi hilo na asikurupuke kwa sababu anaweza akataka kuja kwangu ili tu apoze machungu ya moyo wake kwa kutukosa sisi sote kamkosa huyo alikuwa nampenda zaidi na kanikosa mimi niliekuwa kama wa pembeni yake japokuwa mimi wapembeni ndio nilikuwa natimiza wajibu zaidi kuliko huyo alikuwa anaona yeye ndie atamfaha zaidi... Yeah nampenda ila sasa daah kuna vitu nikivisahau basi nitamrudisha jumla ila nataka tu nimwone kama atajutia au anafanya maamuzi kwa mhemko
 
Kweli mpe nafasi kama atakuwa kajirekebisha au kusahauliwa basi bila shaka ataomba msamaha.
Kikubwa ni kumpa nafasi tena na ikibidi unaweka na onyo juu kama atakuwa amejifunza hata fanya makosa kama hayo tena.
 
Shida nyingine inakuja tayari tupo long distance na mahusiano ya mbali unajua changamoto zake yani yeye songea then mimi kwasasa ndo mzururaji mara mbeya mara dar mara rufiji kwahiyo changamoto saana...
 
Kweli ila hapo kama mawasiliano yapo vizuri umbali si tatizo maana Mawasiliano yakiwa vizuri ndio Kila kitu umbali si tatizo maana kuonana itakuwa si kazi.
 
Maisha haya, mimi ni mpenzi sana wa kusoma hadithi..basi wakati nachipukia kuna rafiki yangu wa utotoni kumbe alikuwa ananizimikia akawa ananiletea vijarida, vitabu nasoma ile kuninunulia kabisa, sasa alivyoona kanunua vya kutosha ndo akarusha ndoano mie nkaitema [emoji13][emoji13][emoji13] jamaa akanifata kunidai yooote pamoja na vitabu vyoote, bahati nilikuwa natunza nkarudisba...basi nikikumbuka nacheka na yeye anacheka tuu ujinga wake...
 
Hahaha sasa kwa nini unamkazia wakati alijitolea kukupenda.
 
Kwanza tulikuwa wadogo sana japo yeye alikuwa kanizidi lkn bado haukuwa umri wa hizo mambo, pili nilikuwa simpendi yani hisia za mapenzi sikuwa nazo juu yake na mpaka leo, wakati mwingine huwa ananitania mana tumeshakuwa wazee ananiambia japo aweke mkono tu [emoji28][emoji28] wanaume akili zao jamani.
 
Hahahah kama mmetoka mbali kiasi hicho unaweza kuruhusu aweka mkono tu na yeye afurahi 🤣🤣🤣
 
Kwanza tulikuwa wadogo sana japo yeye alikuwa kanizidi lkn bado haukuwa umri wa hizo mambo, pili nilikuwa simpendi yani hisia za mapenzi sikuwa nazo juu yake na mpaka leo, wakati mwingine huwa ananitania mana tumeshakuwa wazee ananiambia japo aweke mkono tu [emoji28][emoji28] wanaume akili zao jamani.
Haha umenikumbushia binti mmoja, sikuwahi mtongoza, ila ni mara moja nilimpa tu kijizawad kidogo, Sasa alifikiri namtaka kimapenzi, sahiv nkikutana Naye anafunika uso wake na sweta, au akiniona anabadilisha njia uujn
 
Back
Top Bottom