Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Hahaa wala ni kipindi hicho chuo huko wala hata hayupo humu. Kwani kudai calculator yangu ni kumshusha? Yeye alivoishusha mbususu yangu je?🤔
Hahah kumbe yeye ndio alianza kushusha mbususu yako.
Ni sawa umuombe calculator yako.
 
Kuna pullover aliacha geto, na yeye alichukua tshirt yangu, kuna siku navaaga lle pullover yake alafu napita kwao akiniona ananuna sana,mara ingine anakimbilia ndani mwao , hata yeye nakutaga kavaa tshirt yangu ila sichukii ...[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom