Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulirudisha nini kwake?Akii Calculator yangu niliyompa alirudisha[emoji848]
Sawa.Wewe una protocol kama yangu.
Huwa nampa mwanamke vitu vyenye thamani ndogo ambavyo hata tukiachana haviniumizi.
Mwanamke usimnunulie vitu vyenye thamani kubwa kama kiwanja,nyumba,gari kwani baadae mkiachana utaumia sana ukimuona anatanulia na wanaume wengine.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Huyo ni mwamba.Seriously Nilitaka kumrudishia akakataa!!
Mwamba ni yesu![emoji23][emoji23]Huyo ni mwamba.
Never ever!Kwamba yesu ndio mwamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ni ngumu kujua maana msuko wa system ni hatariHahahah hiyo hatari ni ufirisi sasa
Kuna miamba hii dunia we acha. Ila alifanya vizuri tu. Sema ndio vile ni ex.Mwamba ni yesu![emoji23][emoji23]
Hivi mpaka mtu unafikia kumnunulia mwanamke gari, nyumba nk anakua amekupa nini hasa chenye thamani kiasi hicho? Aisee mimi bado sijakutana na mwanamke wa kumhonga hata simu tu..[emoji23][emoji23]
Unakua hujamuelewaSijawahi na sitawahi kumhonga demu kitu cha maana,yeye ataishia kupigwa ukuni,kupewa hela ya chips na nauli ya boda boda,hata chupi simnunulii
Na ajipangeBasi kwako kazi anayo.