Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Nilimpa simu ilikuwa hajawahi kutumia simu kubwa tukaachana baada ya kufuma text anachat na jamaa mwingine na sikumdai ila baadae alikuja kunitafuta akaomba msamaha ila hatupo tena pamoja japo tunawasiliana mara moja moja.

Nikidai vitu baada ya kuachana nakuwa sina amani
 
Kweli kabisa ni vyema yeye ndo akabaki na wasiwasi kuhisi kuombwa vitu.
 
Naomba Msamehane na mrudiane. Couple yenu ilikuwa nzuri sana aisee.
Nimetuma namba zenu kwa MO Jay Clouds Fm mpatanishwe na mrudiane.
Kwani wameachana na huyu wa JF? Au ni mwingine Kabula ya huyu.
 
Hivi mpaka mtu unafikia kumnunulia mwanamke gari, nyumba nk anakua amekupa nini hasa chenye thamani kiasi hicho? Aisee mimi bado sijakutana na mwanamke wa kumhonga hata simu tu..😂😂
Tatizo huna hela ..ukiwa nazo za kutosha utaona hivyo ni vitu vidogo
 
Back
Top Bottom