mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hakuna mwanaume mwenye nguvu za asili.
Anachokula ndo nguvu zake
Unataka kusema wanaume wa kizungu hawana nguvu za kiume sababu hawali ugali wa Dona ?
Anachokula ndo nguvu zake
Unataka kusema wanaume wa kizungu hawana nguvu za kiume sababu hawali ugali wa Dona ?
ukiona hivyo basi una upungufu wa nguvu, una jibusti, mimi nataka mwanaume mwenye nguvu zake za asili si jitu mpaka linywe K-Vant, Nyagi ndio lisimamie ukucha, wanaume wengi sana mna upungufu wa nguvu.