Pisi moja hv tulikua marafiki kama utani tu nikamtongoza akanitolea nje na akatishia na urafiki wetu utakufa, nika give up mara ananicheki eti anataka anitembelee nikakubali akaja tukapiga story akasepa, siku nyingine akaja tena mara analala tu ndani anapunguza nguo sasa tu alikua na shape balaa
Nikamshika akarespond nikamtafuna
Kasoro yake kubwa ni bad spender balaa yani asipite karibu na duka la nguo au urembo.
Guys alikua mzuri wana kitaa wanauliza umemtoa wap ila ndo hivyo hata sijui yuko wap hapa mjin